Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA TISA MKUTANO WA SSBA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 19, 2017.
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa B...


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleimani Jafo akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Susan Kolimba akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Mbunge wa Mwibala (CCM) Mhe. Kangi Lugola  akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Morogoro (CCM) Mhe. Christina Ishengoma akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017. 
Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Mhe Saverina Mwijage  akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
 Naibu Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt.  Ashatu Kijaji akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili.
Mbunge wa Chilonwa  (CCM) Mhe. Joel Makanyanga  akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani  akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017. 
Mbunge wa Viti Maalum Arusha (CCM) Mhe. Catherine Magige  akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwelwe akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017
Mbunge wa Mikumi (CHADEMA) Mhe. Joseph Haule akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
 Mbunge wa Busokelo (CCM) Mhe. Fredy Mwakibete akiuliza swali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza Naibu wake Mhe. Anastazia Wambura  wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura  wakijadiliana jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizaba wakijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.  
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top