Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
  Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowa...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman  alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman  wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Elimu Bila Malipo Mhe.Riziki Pembe Juma pia Makamo pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
 Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

 Baadhi ya watendaji wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar 
 Baadhi ya Naibu Katibu Wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  wakiwa katika Uzinduzi wa hamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar 
 Wajumbe wa Sekretari  ya Kamati Maalum ya Uchangiaji wa Madawati wakiwa tayari kunukuu kila mchango uliotolewa wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar 
 Wakuu wa Mikoa na Viongozi wengine mbali mbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati wa Uchangiaji wa Madawati iliyoteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakimsikiliza Rais alipokuwa akifanya uzinduzi na uhamasishaji huo 
Baadhi ya Viongozi wengine mbalimbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. 
Picha zote na IKULU.

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top