Mchezaji wa Uingereza afariki dunia
Mchezaji wa zamani katika timu ya taifa ya Uingereza Ugo Ehiogu amaefariki dunia. Mchezaji huyo alifariki kutokana na tatizo la moyo wakati wa mafunzo kwenye uwanja wa Tottenham.
Ugo akiwa mwenye umri wa miaka 44, alifikishwa haraka hospitali kutumia gari maalum la kubebea wagonjwa, lakini alifariki dunia alfajiri leo.
Ugo Ehiogu enzi za uhai wake akiwa na familia yake.
Ugo ameacha mke aitwae Gemma, ambae waliona mwaka tangu 2005 na kubahatika kupata watoto wawili Obi Jackson na Jodie.
Post a Comment