Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imetoa siku 90 kwa wageni kufanya
uhakiki wa vibali vya ukaazi ili kuimarisha udhibiti wa wageni wanaoishi
nchini pamoja na kuzuia mianya ya upotevu wa maduhuli ya serikali.
Anna Makakala, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
Akizungumza jijini Dar es Salaam Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna
Makakala baada ya uzinduzi wa mfumo wa uhakiki kwa kutumia njia ya
kielekroniki amesema mfumo huo ni rahisi na unatoa fursa kwa waajiri na
wageni wote wenye vibali vya ukaazi kuhakiki kumbukumbu za vibali vyao
ili kujua kama vimetolewa na mamlaka husika.
Dkt. Makakala amezitaka taasisi na mashirika binafsi baada ya
kuhakiki vibali vya wageni wao watatakiwa kuwasilisha taarifa za vibali
hivyo katika ofisi za Idara ya Uhamiaji za mikoa zilizopo karibu na
ofisi hizo ambapo ames
Raia wa kigeni nchini wapewa siku 90
Title: Raia wa kigeni nchini wapewa siku 90
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imetoa siku 90 kwa wageni kufanya uhakiki wa vibali vya ukaazi ili kuimarisha udhibiti wa wageni wanaoish...
Post a Comment