Diamond ametangaza siku ambayo ataachia manukato yake ya mapya yajulikanayo kama Chibu Perfume.
Hatua hiyo imekua ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake wengi tangu
alipoweka hadharani ujio wa biashara hiyo mwezi Novemba mwaka jana.
Kupitia mtandao wa Istagram, Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ ametaja
siku ya kuingiza sokoni kwa perfume, “The Only Scent you deserve,
@chibuperfume by Diamond Platnumz coming out this friday!!
#TheScentYouDeserve.”
Endapo hilo litafanikiwa Diamond ataingia kwenye orodha ya mastaa
wakubwa duniani walifanikisha kuachia perfume zao kama Nicki Minaj,
Beyonce, Diddy, David Beckham na wengine. Hatua hii imepokelewa kama ya
kihistoria kwa wengi akiwa ni msanii wa kwanza wa kiume Tanzania kuachia
bidhaa ya perfume kupitia brand yake.
Diamond kuandika historia tena
Title: Diamond kuandika historia tena
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Diamond ametangaza siku ambayo ataachia manukato yake ya mapya yajulikanayo kama Chibu Perfume. Hatua hiyo imekua ikisubiriwa kwa hamu n...
Post a Comment