WANANCHI WA JAMII YA WAFUGAJI NGORONGORO WATOA MALALAMIKO YAO KWA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALISILI NA UTALII.
Wananchi
wa jamii ya wafugaji waliposimama katikati ya barabara ya kuingia Makao
makuu ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa lengo la kuzuia msafara wa
Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii ilipotembelea Ngorongoro.
Wananchi
wa jamii ya wafugaji wanaoishi katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
wakilelekea makao makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
mara baada ya kuomba kutoa kero zao mbele ya kamati hiyo.
Mkuu
wa wilaya ya Ngorongoro,Rashid Taka akitoa neno la ukaribisho kwa
wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii ilipotembelea
wilaya ya Ngorongoro.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao hicho.
Mwenyekiti
wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashasta Ndetiye
akizungumza na wananchi wa jamii ya wafugaji makao makuu ya Mamlaka ya
Hifadhi ya Ngorongoro
Wananchi
wa Ngorongoro wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashasta Ndetiye alipozungumza nao.
Mbunge
wa jimbo la Siha na Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasi na
Utalii ,Godwin Mollel akizungumza wakati wa kikao hicho.
Mwenyekiti
wa Baraza la Wafugaji Edward Maura akitoa malalamiko yao kwa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii ilipofika makao makuu ya Mamlaka
ya Hifadhi ya Ngorongoro kuzungumza naao.
Wananchi
wa jamii ya Wafugaji wanaoishi katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
wakifanya maombi mara baada ya kumalizika kwa kikao na Kamati ya kudumu
ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii.
Post a Comment