Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Essien amepata timu baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi sita
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Mchezaji wa zamani vilabu vya Chelsea ya England na Real Madrid ya Hispania Michael Essien, baada muda mrefu kukosa timu leo M...


Mchezaji wa zamani vilabu vya Chelsea ya England na Real Madrid ya Hispania Michael Essien, baada muda mrefu kukosa timu leo March 14 2017 ametangazwa kujiunga rasmi na klabu ya Persib Bandung ya Indonesia, baada ya kuwa nje ya uwanja bila timu kwa miezi sita.


Michael Essien mwenye umri wa miaka 34, baada ya kuachana na klabu ya Panathinaikos ya Ugiriki mwaka 2016 na muda wote huo amekuwa akifanya mazoezi na kikosi cha akiba cha Chelsea kabla ya kujiunga na Persib Bandung.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top