PICHA MBALIMBALI ZA TUKIO LA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM,ULIOFANYIKA LEO MJINI DODOMA
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli
akiwahutubia wajumbe wapatao 2356,ambapo walipaswa kuwa wajumbe 2380
mkutano Mkuu Maalum wa CCM ambao ulikuwa una lengo kuu la kufanya baadhi
ya mabadiliko ndani ya Katiba,ambayo yamepitishwa kwa asilimia 100 na
wajumbe hao waliohuhudria mkutano huo.
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza mambo mbalimbali mbele
ya wajumbe waliohudhuria katika Mkutano Mkuu Maalum mjini Dodoma.
Baadhi
ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakiburudika kwa shangwe na
vifijo kutoka kikundi cha TOT Plus kabla ya kuanza mkutano huo ndani ya
Ukumbi wa Kikwete mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutano mkuu Maalum wa CCM wakishangilia kwa
shangwe huku wakiwa na mabango yao yakionesha mikoa wanayoiwakilisha.
Malkia wa mipasho Afrika Mashariki Khadija Kopa akitunbuiza pamoja na bendi ya TOT kwenye mkutano huo.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutsno mkuu wa CCM wakishangilia kwa shangwe huku
wakiwa na mabango yao yakionesha mikoa wanayoiwakilisha.
Malkia wa mipasho Afrika Mashariki Khadija Kopa akitunbuiza pamoja na bendi ya TOT
Sehemu ya baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakiwa tayari ukumbini wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.
Sehemu ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huo pamoja na wageni waalikwa
Sehemu ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huo pamoja na wageni waalikwa
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Kasim Majalia wakati akiwasili katika
ukumbi wa mkutano mkuu wa CCM, Mjini Dodoma
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli
akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete wakati
akiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa CCM, Mjini Dodoma
Wake
za viongozi,pichani kulia ni Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Mwema
Shein wakijadiliana jambo kabla ya Mkutano Mkuu Maalum kuanza mapema leo
katika ukumbi wa Kikwete,mjini Dodoma.
Baadhi ya Wake za viongozi mbalimbali wakifuatilia mkutano huo
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph
Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wastaafu wa Serikali na
kichama walipowasili kwenye ukumbi wa mkutano na kukaribishwa na
wajumbe.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka mkoa wa Tanga wakifuatia yaliyokuwa yakijiri ukumbi humo.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka mkoa wa Lindi.
Kulia ni Mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na Mbunge
wa Mtama, Mh. Nape Nnauye wakifuatilia mkutano huo
Sehemu
ya wajumbe hao wakifuatilia Hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais
wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli (Hayupo pichani)
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli akihutubia mkutano huo
Kikundi cha ngoma za kabila la Wagogo, Majeleko wakitoa burudani katika mkutano huo
Mabalozi
na wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi wakiwa
wamehudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa CCM,mjini Dodoma.
Post a Comment