WATANGAZAJI WA MICHEZO WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Omari akizungumza wakati wa
ufunguzi wa mafunzo na Warsha ya Wanahabari za michezo juu ya maadili
ya utangazaji kwenye radio na Televisheni na kuzingatia taaluma
Mwandishi
wa habari mkongwe kutoka kituo cha Azam Televisheni , Baruani Muhuza
akitoa somo kwa wanahabari hao walifika katika mkutano huo juu ya
umuhumu wa weledi wa taaluma
Mkurugenzi
mtendaji wa makampuni ya Superdoll, Jamal Baiser akizungumza wakati wa
mafunzo hayo kwa watangazaji wa waandishi wa habari za michezo
Evance Mhando akichangia mada katika mkutano huo ambao uliweza kuwajenga watangazaji kufuata weledi
Mwalimu
Alex Kashasha akitoa mada juu ya kuwaleta wasikilizaji na watazamaji
kuwa sehemu ya watu waliopo uwanjani pasipo kusababisha mfarakano wa
moyo na kulaumu marefa na wachezaji kutokana na aina ya utangazaji
tulionao sasa
Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakifatilia kwa makini masomo yalikuwa yakitolewa katika mafunzo hayo
Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakifatilia kwa makini masomo yalikuwa yakitolewa katika mafunzo hayo
Msemaji
wa shirikisho la Soka nchini ,Alfred Lucas Mapunda akizungumza na juu
ya watangazaji kusomana kufuata kanuni za ligi kuu ya Vodacom Tanzania
bara na mashindano mengine hili kuweza kuwa na majibu sahii pindi
wanapokuwa wanatangaza mpira
Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Superdol , Jamal Baiser akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Omari ambaye alimwakilisha
waziri wa haabri Vijana utamaduni na Michezo Nape Nnauye
Post a Comment