Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Nicki Minaj amdiss Meek Mill kwenye show mjini Paris
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Nicki Minaj amemdiss ex wake Meek Mill wakati alipoalikwa kwenye show ya Drake mjini Paris wikiendi hii. Nicki aliimba nyi...


Nicki Minaj amemdiss ex wake Meek Mill wakati alipoalikwa kwenye show ya Drake mjini Paris wikiendi hii.

Nicki aliimba nyimbo tatu pamoja na Drake ikiwemo ‘Moment 4 Life’, ‘Truffle Butter’ na ‘No Frauds’ ambayo ni diss kwa Remy Ma.
Wakati show hiyo inaendelea Nicki alipokuwa jukwaani alisema, “I just want to beg you guys to chase your dreams. Don’t let anyone or anything get in your motherf**king way… You are important, and if a nigga don’t know how to treat you, he got to get the f**k out your motherf**king life.”
Kauli hiyo ina maana kuwa mahusiano yake na Meek Mill yalikuwa yanataka kupoteza muziki wake kwa kuwa alikaa kimya kwa takribani miaka miwili huku mpenzi wake huyo bila kufanya chochote.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top