NHIF YATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA
Meneja
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza
wakati wa kikao cha pamoja baina yao na watumishi wa Halmashauri ya
wilaya ya Mkinga kuhusu umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii
(CHF) ili waweze kunufaika na huduma zitolewazo
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga,kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa
wa Bima ya Afya (NHIF)Ally Mwakababu kulia ni Mratibu wa CHF wilaya ya
Mkinga,Rashid Gembe
Meneja
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu
kushoto akifuarahia jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya
Mkinga,Rashid Gembe mara baada ya kufungua kikao cha pamoja baina ya
Mfuko huo na watumishi wa Halmashauri hiyo kuhusu umuhimu wa kujiunga na
mfuko huo ili kuweza kunufaika na huduma zinazotolewa.
Daktari akiwapima baadhi ya watumishi wa halmashauri huo
Daktari akiwapima baadhi ya watumishi wa halmashauri huo
Afisa
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Juliana Mathias wa pili kulia
akiwapima baadhi ya watumishi wa Halmashauri hiyo uzito wakati wa
uhamasishaji huo
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wakifuatilia kikao hicho
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wakifuatilia kikao hicho
Post a Comment