Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Goli la Memphis Depay lawaacha midomo wazi wabaya wake
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kuonekana hafai ndani ya klabu ya Manchester United, Memphis Depay Jumapili hii ameifungia timu yake ya Olympique Lyonnais goli...


Baada ya kuonekana hafai ndani ya klabu ya Manchester United, Memphis Depay Jumapili hii ameifungia timu yake ya Olympique Lyonnais goli ambalo limewaacha midomo wazi watu waliokuwa wanamponda.
Lyonnais imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0 katika mechi ya ligi kuu ya Ufaransa waliokuwa wakicheza dhidi ya Toulouse. Katika Ushindi huo Depay alifunga magoli mawili huku magoli mengine yakifungwa na Jallet na Cornet.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top