Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Jose Mourinho afunguka kuhusu Ibrahimovic
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Jose Mourinho afunguka kuhusu Ibrahimovic Mchezaji wa klabu ya Manchester United Zlatan Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 35 in...

Jose Mourinho afunguka kuhusu Ibrahimovic


Mchezaji wa klabu ya Manchester United Zlatan Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 35 inaoanekana sasa amenogewa kuendelea kuvaa jezi ya Old Trafford.

Kwa wakati huu anataka kupewa nafasi zaidi ya kukipiga kwa msimu mmoja zaidi akiwa na United. amesema Jose Mourinho. Zlatan Ibrahimovic ambaye hadi saivi ameshaifungia timu hiyo magoli 18 katika mechi 28 alizo cheza.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top