New Video: Linah ft Mr Kesho – Upweke
Muimbaji Linah Sanga ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Upweke’ akiwa
ameshirikiana na Mr Kesho. Video imeongozwa na director Ghost. Wawili
hao wanafanya kazi chini ya label moja iitwayo Dropouts Entertainment.
Post a Comment