Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa
akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho,
Dkt.Chuwa amewataka wafanyakazi hao kufanya kazi kwa bidii na weledi
ili kuboresha zaidi upatikanaji wa takwimu rasmi nchini. (Picha na
Veronica Kazimoto)
Kaimu Mkurugenzi wa Utawala, Fedha na Masoko Bi. Lilian Karumuna wa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu akifafanua jambo wakati wa kikao cha
wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania tawi la Ofisi ya
Taifa ya Takwimu (TUGHE) Bi. Raya Mikidadi akifafanua jambo wakati wa
kikao cha wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakimsikiliza kwa makini
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) wakati wa kikao cha
wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakimsikiliza kwa makini
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) wakati wa kikao cha
wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam
Post a Comment