Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia
Soka akikata keki pamoja na baadhi ya wanachama wa chama hicho katika
hafla fupi ya chama hicho kutimiza miaka 27 tamgu kilipoanzanishwa baada
ya kusajiliwa rasmi mwaka 1990 na kuanza kazi zake rasmi hapa nchini.
Chama
hicho kimefanikiwa kuanzisha matawi yake katika mikoa ya Tanga, Dodoma,
Arusha, Mwanza pamoja na Dar es salaam na chama hicho kimeweza kusaidia
mamilioni ya watanzania hasa wanawake katika masuala ya msaada wa
kisheria katika unyanyasaji wa kijinsia na migogoro ya kifamili hasa
ndoa na masuala mengine, hafla hiyo iliyofanyika ofisi za taasisi hiyo
Ilala Bungoni
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia
Soka akimlisha keki Mwanachama wa chama hicho Bi Mariam Mvano wakati wa
hafla hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia
Soka akilishwa keki na Mwanachama wa TAWLA Mariam Mvano wakati wa hafla
hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia
Soka akimlisha keki mwanachama wa TAWLA Judith Kadege.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia
Soka akilisha keki mwanachama wa chama hicho Chaya Mlaki wakati wa hafla
hiyo iliyofanyika ofisi za taasisi hiyo Ilala Bungoni
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA wakiwa katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia Soka akizungumza na wanachama hao.
Mmoja
wa wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake Bi. Judith Kadege
akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye ofifi za taasisi hiyo
Ilala Bungoni.
Baadhi
ya wanachama wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake
Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia Soka wakati alipokuwa akizungumza
nao katika hafla hiyo.
Mmoja
wa wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake Bi. Judith Kadege
akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye ofifi za taasisi hiyo
Ilala Bungoni.
Baadhi ya wanachama wa chama hicho wakiwa katika hafla hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia
Soka akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia
Soka akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla hiyo.
Post a Comment