Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Video: Mchungaji Getrude Lwakatare aapishwa bungeni
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai amemuapisha Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge wa viti Maalum wa Bunge la...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai amemuapisha Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge wa viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Lwakatare ameapishwa mapema Alhamisi, Mjini Dodoma na Spika Ndugai, baada ya kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Aprili 14 mwaka huu ili kujaza nafasi iliyoachwa na Sophia Simba ambaye alivuliwa uanachama wa CCM kwa madai ya uvunjifu wa maadili ya kichama.
Video:

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top