Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane(8) ya CCM aina ya Dyna ikiwa ni
ahadi ya Mbunge wa CCM wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Masoud Khamis
(wa pili kulia) katika viwanja vya Z. Ocean Hotel iliyopo kihinani
Wilaya ya Magharibi Jimbo la Mfenesini leo.
Gari
nane (8) aina ya Dyna zilizonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la
Mfenesini Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis ambazo leo amezikabidhi kwa
Chama cha Mapinduzi CCM zitakazotumika na kutoa huduma katika Matawi ya
Chama cha CCM katika jimbo hilo,ambazo zimegharimu jumla ya shilingi za
kitanzania Millioni Mia moja na Tisiini na Mbili,[Picha na Ikulu]
23/o4/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo
la Mfenesini Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis alipowasili katika viwanja
vya Z. Ocean Hoteli iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika
sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari nane (8) za Chama cha Mapinduzi CCM
ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanaCCM wa
Jimbo la Mfenesini wakati alipowasili katika viwanja vya Z. Ocean Hoteli
iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini Wilaya ya Magharibi leo katika
sherehe za Uzinduzi wza Mradi wa Gari nane(8) za CCM zilizotolewa na
Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya kwa
Wananchi,
Baadhi
ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mfenesini
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akizungumza katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane (8)za CCM
zilizokabidhiwa leo kwa Rais ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo
Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya kwa Wananchi hafla
iliyofanyika katika ukumbi wa Z. Ocean Hoteli iliyopo kihinani Jimbo la
Mfenesini,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akipokea kadi za Gari Nane (8)
aina ya Dayna ambazo Rais amezindua Mradi huo wa CCM zitakazotumika
katika Matawi ya Chama Jimbo la Mfenesini,Gari hizo ini ahadi aliyoitoa
Mbunge Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis katika ukumbi wa Hoteli ya Z. Ocean
iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe Jimboni humo,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake
wakati sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM
zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis
ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika
ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja, [Picha na
Ikulu] 23/o4/2017.

Ikulu] 23/o4/2017
Post a Comment