Naibu
Waziri wa Tawala za Mikoa na SerikalizaMitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani
Jafo akitoa hotuba ya ufunguzi kwa washiriki wa semina elekezi kwa
Maafisa Elimu na Maafisa Michezo wa mikoa yote nchini, ikiwa ni
maandalizi mahsusi ya uzinduzi rasmi wa mishindano ya michezo ya Copa
UMISSETA 2017, ambapo kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola imeendelea
kudhamini mashindano hayo.
Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki Dodoma na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka serikalini na Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa michuano hii utafanyika katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa Aprili 28, 2017.

Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo,
Bw Yusuf Singo akizungumza na washiriki wa semina elekezi kwa Maafisa
Elimu na Maafisa Michezo wa mikoa yote nchini, ikiwa ni maandalizi
mahsusi ya uzinduzi rasmi wa wamishindano ya michezo ya Copa UMISSETA
2017, ambapo kampuni yavinywajibaridiya Coca-Cola imeendelea kudhamini
mashindano hayo.
Katikati ni Naibu Waziri wa Tawala za Mikoana SerikalizaMitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akiwa pamoja na Afisa Msimamizi wa Copa Cola-Cola, Pamela Lugenge (kushoto). Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki Dodoma na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka serikalini na Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa michuano hii utafanyika katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa Aprili 28, 2017.

Afisa
Msimamizi wa Copa Cola-Cola, Pamela Lugenge (kushoto) akizungumza na
washiriki wa semina elekezi kwa Maafisa Elimu na Maafisa Michezo wa
mikoa yote nchini, ikiwa ni maandalizi mahsusi ya uzinduzi rasmi wa
mashindano ya michezo ya Copa UMISSETA 2017, ambapo kampuni ya vinywaji
baridi ya Coca-Cola imeendelea kudhamini mashindano hayo. Katikati ni
Naibu Waziri wa Tawalaza Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe.
Selemani Jafo akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa
Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Bw Yusuf Singo (kulia).
Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki Dodoma na kushirikisha wadau
mbalimbali kutoka serikalini na Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa
michuano hii utafanyika katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa
Aprili 28, 2017.
Naibu
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani
Jafo akiteta na viongozi mara baada ya kumalizika kwa semina.
Meza kuu.
Post a Comment