Fashion inaenda na umri,na kila nguo hutakiwa kuvaliwa kulingana na umri husika. Tumeshashuhudia baadhi ya watu wenye miili mikubwa wakilazimisha kuvaa kama mtu mwenye mwili mdogo, pia kwa wenye miili midogo kuvaa over size.
Kwenda na wakati ni jambo zuri na unachotakiwa kutambua hasa, ni mwili wako ukoje na unapaswa kuvaa nini kwa wakati gani, sio lazima uvae nguo zinzao trend kujiona upo sawa. Unaweza kuvaa tofauti na uka vutia vilevile.
Ni muhimu kutambua upo wapi, wakati upi na kujitahidi kuvaa kulingana na sehemu husika ili utokelezee vizuri zaid na kuvutia. Swala kuvaa ngua na kukosa uhuru na nguo uliyovaa linaweza kukunyima raha na ukataman uondoke ulipo kutokana tu na vazi lako.
Post a Comment