Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.
Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa
wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji
wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na
Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.
Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli
na Harry Kane. Wachezaji wengine walioingia katika kikosi hicho ni
David De Gea (Manchester United), Sadio Mane (Liverpool) na Romelu
Lukaku (Everton).
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment