Wanafunzi 2,348 washinda rufaa zao za mikopo ya elimu ya juu
Wanafunzi wapatao 2348 wameshinda rufaa zao za mikopo ya elimu ya juu. Rufaa hizo ziko kwa makundi mbalimbali ambayo ni walemavu 61, yatima 57,wenye mzazi mmoja 570, familia zenye kipato duni 1,169, waliosomeshwa na wahisani 491.
Hii ni taarifa rasmi:
By: Emmy Mwaipopo
Post a Comment