Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Rashford, Martial na Rooney kuikosa Chelsea leo
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Manchester United leo itakuwa katika uwanja wa Stamford Bridge jijini London, inaivaa Chelsea katika mechi ya robo fa...



Klabu ya Manchester United leo itakuwa katika uwanja wa Stamford Bridge jijini London, inaivaa Chelsea katika mechi ya robo fainali ya FA Cup.

Man United tayali wameshatua London kwa usafiri wa treni tayari kwa mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu kubwa.
Katika mechi hiyo, Man United itawakosa Zlatan Ibrahimovic mwenye adhabu ya kufungiwa mechi tatu, Marcus Rashford na Anthony Martial apmoaja na nahodha wao Wayne Rooney ambaye aliaumia mazoezini.







About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top