Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: New Video: Mr. Kesho – Nangoja
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Staa mpya anazaliwa, japo jina lake Mr Kesho linaweza kuonekana kuukata ustaa wa leo. Wimbo wake Nangoja, umewashtua wengi na wale weny...



Staa mpya anazaliwa, japo jina lake Mr Kesho linaweza kuonekana kuukata ustaa wa leo. Wimbo wake Nangoja, umewashtua wengi na wale wenye maskio makali zaidi ya muziki mzuri, wamebaini ndani ya Kesho, kuna dhahabu itakayoanza kumwagika yenyewe bila hata kuchimbwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top