Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Ben Pol aungana na WWF kwenye kampeni ya utunzaji miti
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Ben Pol ameungana na shirika la kimataifa linalojihusisha na utunzaji wa maliasili, WWF kwenye kampeni ya miti mwaka 2017. B...


Ben Pol ameungana na shirika la kimataifa linalojihusisha na utunzaji wa maliasili, WWF kwenye kampeni ya miti mwaka 2017.

Ben Pol atakuwa balozi wa kampeni hiyo. “Happy to announce our @earthhour campaign & ambassador @iambenpol. Join us this March 25 to #ChangeClimateChange @TanzanianForest,” wameandika WWF kwenye Twitter.

Kupitia Instagram, Ben Pol ameandika: So excited to be teaming up with @wwftanzania as an Ambassador for WWF EARTH HOUR 2017! Tushirikiane kwa pamoja ili tufikie lengo. #Tanzania #MitiNiUhaiTuitunze #Earthhourtz #Earthhour #changeclimatechange Cc. @wwf

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top