ALLY KIBA APOKEWA KISHUJAA, AISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM NA VIUNGA VYAKE
Ally
Kiba akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
akitokea nchini Afrika Kusini mara baada ya kukabidhiwa tunzo yake ya
MTV kama msanii bora wa kiume Afrika
Ally
Kiba akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
akitokea nchini Afrika Kusini mara baada ya kukabidhiwa tunzo yake ya
MTV kama msanii bora wa kiume Afrika
Mashabiki
wa AlyKiba ambao walifika katika uwanja wa ndege wa JNA jijini Dar es
Salaam wakiwa na mabango kama wanavyoenekana pichani
Kiba kielekea kwenye gari maalum aliyoandaliwa mara baada ya kuzngumza na mashabiki wake
Aly Kiba akiwa na Meneja wake Seven Mosha mara baa da ya kuingia katika gari hiyo maaalum
Ally
Kiba akiwa katika mitaa ya Kariakoo huku akiwa amezunguskwa na
mashabiki mbalimbali ambao walipata fursa ya kuona Tunzo yake ya Mtv
base kama msanii bora wa kiume Afrika
Mashabikiw a Ally Kiba wakiwa wamezunguka gari ya msanii huyo katika mitaa ya Kariakoo
Ally kiba akiwa katika mtaa wa Mueza eneo alikokokulia akiwa na Tunzo yake
Ally Kiba akiwa na Ndugu Yake Abdul Kiba juu ya gari la wazi katika mita aya Buguruni
Ally Kiba akimkabidhi Tunzo yake Mama yake mzazi maarufu kama Mama k
Mama K ambaye ni mama mzazi wa Ally Kiba akionyesha Tunzo ya msani huyo juu
Baadhi ya Mashabikiwa Ally Kiba wakiwa katika Pikipiki na shangwe ya Alli ya juu
Post a Comment