Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Vita ya dawa za kulevya: 12 kati ya 112 kupandishwa kortini akiwemo Wema, TID na wengine (Video)
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Sakata la Madawa ya kulevya limeendelea kugonga vichwa vya habari wiki hii ambapo Jumatatu hii Jeshi la polisi limedai toka lianze operes...

Sakata la Madawa ya kulevya limeendelea kugonga vichwa vya habari wiki hii ambapo Jumatatu hii Jeshi la polisi limedai toka lianze operesheni hiyo tayari limewakamata watuhumiwa 112 na kati ya hao 12 watapandishwa mahakamani Jumatatu hii kwajili ya kiapo cha kutorudia matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kukiri kutumia.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top