Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Cristiano Ronaldo asherehekea siku yake kuzaliwa na mwanae na Mama yake
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Cristiano Ronaldo asherehekea siku yake kuzaliwa na mwanae na Mama yake Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana Februar...

Cristiano Ronaldo asherehekea siku yake kuzaliwa na mwanae na Mama yake


Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana Februari 5 alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa alipotimiza miaka 32 akiwa na mwanawe na mama yake.

Huku mchezo wa timu yake wa La Liga dhidi ya Celta Vigo ukiahirishwa kutokana na miale mingi ya moto kurushwa na mashabiki Uwanja wa Rio Alto Balaidos.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top