Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Picha: Alikiba alivyofunga mwaka kwenye show yake ya Mombasa
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Picha: Alikiba alivyofunga mwaka kwenye show yake ya Mombasa Hitmaker wa Aje, Alikiba alifanya show wikiendi hii mjini Mombasa, Kenya ya...

Picha: Alikiba alivyofunga mwaka kwenye show yake ya Mombasa


Hitmaker wa Aje, Alikiba alifanya show wikiendi hii mjini Mombasa, Kenya ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017.

Show hiyo ilihudhuriwa na mashabiki lukuki wa mji huo na sehemu nyingine tofauti tofauti. Tazama picha zaidi hapa chini.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top