KILELE CHA BONANZA LA MAZOEZI YA VIUNGO JANA UNGUJA
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipokea risala ya Wanamichezo wa mazoezi ya Viungo kutoka
kwa Nd,Sihaba Mohamed Saidi, wakati wa kilele cha Bonanza la mazoezi
ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia
Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali
mbali Unguja na Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akisalimiana na Mwimbaji Mkongwe wa Muziki wa
Taarab Bi.Rukia Ramadhan aliyeimba wimbo maalum wa Dk.Shein wakati wa
kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia
Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba
Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na wanamichezo katika kilele
cha Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wanamichezo katika kilele
cha Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo
yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi
(kushoto) akimkabidhi cheti cha wachangiaji Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Bandari Cpt .Abdalla Juma, katika kilele
cha Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo
yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi
(kushoto) akimkabidhi cheti cha wachangiaji Mwakilishi wa Jimbo la
Jango'mbe Mhe,Maulid Abdalla Diwani, katika kilele
cha Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo
yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba pia mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi
(kushoto) akimkabidhi cheti cha wachangiaji Mwakilishi wa G1 Group Rajab
Ali Rajab katika kilele
cha Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo
yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba pia mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi cheti cha wachangiaji Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud,katika kilele
cha Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo
yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba pia mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi cheti Mratibu wa Baraza la Michezo Pemba Rashid Khalfan, katika kilele
cha Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo
yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba. Picha na Ikulu.
Post a Comment