Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Nahitaji maombi yenu wadau, nimetoka Muhimbili nipo home ila kiafya bado – Ben Selengo
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Nahitaji maombi yenu wadau, nimetoka Muhimbili nipo home ila kiafya bado – Ben Selengo.. Msanii wa filamu Ben Selengo baada ya kupata aja...

Nahitaji maombi yenu wadau, nimetoka Muhimbili nipo home ila kiafya bado – Ben Selengo..


Msanii wa filamu Ben Selengo baada ya kupata ajali ambaya siku ya sikukuu ya Christmas na kulazwa katika Muhimbili, ameruhusiwa na sasa hivi yupo nyumbani.

Mchekeshaji huyo amedai licha ya kuwa ameruhusiwa kutoka hospital lakini bado afya yake haijakaa sawa na anahitaji maombi.
“Bado nahitaji maombi yenu wadau,” aliandika Ben Instagram “nimetoka Muhimbili nipo home ila kiafya bado,”

Hili ni gari ambalo alipata nayo ajali

Ndugu na marafiki wakimtembelea kumtakia hali

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top