Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Mashabiki wamlilia Young Dee baada ya meneja kudai amerudia tena unga
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Mashabiki wamlilia Young Dee baada ya meneja kudai amerudia tena unga Kwa mujibu wa meneja wa Young Dee, Maximillian Rioba, rapper h...

Mashabiki wamlilia Young Dee baada ya meneja kudai amerudia tena unga


Kwa mujibu wa meneja wa Young Dee, Maximillian Rioba, rapper huyo amerejea tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya.
Young Dee akiwa na meneja wake Max mwanzilishi wa label ya MDB
Taarifa hiyo imekuja katika wakati ambao mashabiki wengi wa muziki waliamini kuwa rapper huyo ameachana na matumizi ya unga, kama alivyoahidi mwaka uliopita alipozungumza na waandishi wa habari.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top