Mkito watoa list ya nyimbo 5 zilizowavutia watu wengi kupitia mtandao huo ndani ya mwaka 2016
Mtandao wa kuuza nyimbo za muziki nchini Mkito.Com, umetoa list ya nyimbo 5 za wasanii wa muziki nchini ambazo zimepakuliwa zaidi kupitia mtandao huo ndani ya mwaka 2016.
Mtandao huo umepost hiyo picha (hapo juu) kupitia twitter na kuandika:
Tunapofunga mwaka, hizi ni baadhi ya ngoma zilizowavutia wengi kwa mwaka 2016. Hebu tutajie zako tano ulizozikubali zaidi mwaka huu.Kwa upande menaja na Alikiba na Barakah The Prince, Seven Mosha baada ya kuona taarifa hiyo ametweet:
Most downloaded @JideJaydee @BarakaThePrince @OfficialAliKibaMtandao huo kwa sasa ni mmoja kati ya mitandao mikubwa nchini Tanzania ambayo inategemewa na wasanii kwa kuuza nyimbo zao.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.