|
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura (wa tatu kutka kushoto mwenye kikoi shingoni ) akizindua rasmi
mazoezi ya viungo kwa mkoa wa Iringa kama agizo la serikali kila
jumamosi ya pili ya ya mwezi wananchi wote kushiriki mazoezi ,kushoto
kwake ni mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na kulia ni mbunge wa viti
maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akifuatiwa na mkuu wa mkoa wa
Iringa Amina Masenza (PICHA ZOTE NA MATUKIODAIMABLOG |
Katibu
tawala wa mkoa wa Iringa Wamoja Ayub kulia akifurahia mazoezi kulia
kwake ni mbunge Mwamoto na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza
Afisa habari Manispaa ya Iringa Sima Bingieki wa kwanza kushoto akishiriki mazoezi leo uwanja wa samora
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura wa pili kulia akifurahia mazoezi na mkuu wa mkoa wa Iringa
Amina Maasenza wa kwanza kulia
|
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya
mazoezi na Dc Iringa Richard Kasesela |
|
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura kulia akifanya mazoezi ya viungo na mbunge wa viti maalum
mkoa wa Iringa Ritta Kabati katika uwanja wa samora Iringa leo |
|
Watumishi ofisi ya mkuu wa Mkoa na RPC Iringa wakiwa katika mazoezi |
|
Baadhi ya wananchi wa mji wa Iringa wakiwa katika mazoezi leo kutoka uwanja wa samora kuelekea ofisi ya RC Iringa |
|
Hivi ndivyo wananchi walivyoshiriki mazoezi Iringa |
|
Wananchi walioshiriki mazoezi wakiwasili ofisi ya RC Iringa wakitokea Samora |
|
Wananchi na viongozi walioshiriki mazoezi wakiingia viwanja vya RC Iringa |
|
Kila mmoja afurahia mazoezi |
|
Mazoezi kwa afya |
|
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya
mazoezi na Dc Iringa Richard Kasesela,wa kwanza kushoto ni mkuu wa
mkoa Iringa Amina Masenza ,mbunge wa viti wa maalum mkoa wa Iringa
Ritta Kabati ,mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na katibu tawala mkoa
wa Iringa wamoja Ayub |
|
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akipongeza wananchi kwa kuitikia mazoezi ,katikati ni mkuu
wa mkoa wa Iringa Amina Masenza na mkuu wa wilaya Iringa Richard
Kasesela |
|
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura mwenye kikoi shingoni akiongoza mazoezi Iringa leo |
|
Mazoezi ya viungo kwa afya yakiendelea |
|
Ni Full mazoezi Iringa |
|
Diwani mstaafu wa Mtwivila Vitus Mushi katikati akishiri mazoezi |
|
Mpiga picha maarufu Iringa Said Mnyalugendo kushoto akiwa katika mazoezi |
|
Kamanda
wa polisi wa mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akiwa na kamanda
wa kikosi cha zimamoto na uokoaji Bw Komba wakishiriki mazoezi leo |
|
Mazoezi kila mmoja kwa afya |
|
Askari wa FFU wakishiriki mazoezi |
|
Wananchi walioshiriki mazoezi wakimsikiliza naibu waziri |
|
Walioshiriki mazoezi wakitoka uwanja wa Samora kwa mazoezi kurudi ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa |
|
Kamanda
wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kulia akifurahia mazoezi na
kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji mkoa wa Iringa Bw Komba |
|
Tupo safi askari polisi wakiwa katika mazoezi |
|
mazoezi kutoka uwanja wa Samora Iringa kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa |
|
Mazoezi kwa afya yanaweza saidia kupunguza magonjwa mbali mbali kama Kisukari |
|
Shughuli nyingine zasimama kupisha mazoezi ya viugo Iringa |
|
DC Kasesela akiongoza mazezi |
|
Mazoezi safi |
|
Askari polisi wakiwajibika kisawa sawa |
|
watumishi ofisi ya RC Iringa Bw Shimwela akiwajibika na wenzake |
|
Mbunge Mwamoto na mkuu wa mkoa Masenza wakifanya mazoezi |
|
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza na mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto wakifurahia mazoezi |
|
Mwenyekiti wa UWT Iringa vijijini Shakra Kiwanda na afisa ushiriki mkoa wa Iringa John Kiteve wakiwa katika mazoezi |
|
Mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Kasesela akiwatazama viongozi wenzake wakiendelea na mazoezi uwanja wa Samora leo. |
Post a Comment