Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Harry Kane aifikia rekodi hii ya Thierry Henry kwenye EPL
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Harry Kane aifikia rekodi hii ya Thierry Henry kwenye EPL Mchezaji wa klabu ya Tottenham, Harry Kane hatimaye ameingia kwenye rekodi saw...

Harry Kane aifikia rekodi hii ya Thierry Henry kwenye EPL


Mchezaji wa klabu ya Tottenham, Harry Kane hatimaye ameingia kwenye rekodi sawa ya magoli na Thierry Henry baada ya kufikisha takribani magoli 59 kwenye michezo 100 ya Premier League.

Kane ambaye ni raia wa Uingereza amefaanikiwa kwenda sawa na mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal ambaye nayeye katika michezo yake 100 ya Premier league alifanikisha kufikisha jumla ya mabao 59 ambayo yote hayo ilikuwa ni kipindi cha mwaka 1999-2002.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top