Home
»
habarizakitaifa
» MSAJILI WA HAZINA AKUTANA NA TAASISI ZA SERIKALI NA KUSAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA MWAKA
Msajili
wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na Mwenyekiti wa Bodi ya
wakurugenzi ya AICC Balozi Dk.Ladislaus Komba mkataba wa makubaliano ya
utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Zisizo za
Serikali kupitia msajili wa Hazina.
Msajili
wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akizungumza jambo na baadhi ya wajumbe
kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)na Taasisi ya Utafiti wa
Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania.(TPRI) wakati wa hafla ya makabidhiano
ya makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za
Serikali na zisizo za Serikali kupitia msajili wa hazina.
Msajili
wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na mwakilishi kutoka Mfuko
wa Umoja wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania mkataba wa makubaliano ya
utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali
kupitia msajili wahazina .Nyuma ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Umoja
wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania Bw.James Washima.
Wajumbe
mbalimbali kutoka Bodi yaWakurugenzi ya AICC na Mfuko wa Umoja wa
Dhamana ya Uwekezaji Tanzania wakimskiliza Msajili wa Hazina Dk.Oswald
Mashindano (hayupo pichani) wakati wa makubaliano ya utekelezaji wa
mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili
wa hazina.
MsajiliwaHazinaDk.Oswald
Mashindano akikabidhiana na mwakilishi kutoka Taasisi ya Utafiti wa
Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania (TPRI) mkataba wa makubaliano ya
utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati yaTaasisi za Serikali na Serikali
kupitia msajili wa hazina.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Related Posts
- Zanzibar to Organize a Half Marathon race to Promote Gender Mainstreaming, Attain Sustainable Development Goal06 Jan 20180
More than 300 Zanzibari women, men, girls and boys are expected to participate in t...Read more »
- Embassy of Kuwait in Tanzania Committed to Support Educational Projects in Zanzibar18 Dec 20170
Member of the House of Representative in Zanzibar, Hon Simai Mohammed Said in discussion ...Read more »
- Turkey to intensify relationship with SUZA16 Aug 20170
Delegation of Presidency for Turks Abroad and Related Communities (YTB) meets Prof. Rai (...Read more »
- RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH WATEMBELEA KUWAJULIA HALI WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM28 May 20170
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamo...Read more »
- Halmashauri kunufaika na Tsh 250 bilioni za mradi wa maji vijijini18 May 20170
Halmashauri za wilaya zimetakiwa kuongeza ufanisi katika kusimamia miradi ya maji kwa kucha...Read more »
- NAIBU MKURUGENZI WA IMF AKUNWA NA UKUAJI WA UCHUMI WA TANZANIA, AAHIDI KUFUNGUA DIRISHA LA MIKOPO KWA TANZANIA18 May 20170
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (wa tatu kulia) akiel...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.