Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige
Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kwa ajili ya Matibabu. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru
pamoja na Dkt. Juma Mfinanga Daktari Bingwa wa magonjwa ya Dharura na
Ajali katika hospitali hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mtoto Shukuru
Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Shukuru
alikuwa akidaiwa kuishi kwa kula Sukari, Maziwa na mafuta ya kula
lakini hali yake imeimarika zaidi na kuanza kula vyakula vya kawaida.
Katikakati ni Mama yake Shukuru Mwanahabibi Mohamed Mtei.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimtakia heri mtoto Shukuru
Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na Mama
yake Mwanahabibi Mohamed Mtei.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia
hali wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia
hali wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia
hali wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini
Post a Comment