AGA KHAN YAWAPIGA MSASA WABUNGE, WADAU UBORESHAJI ELIMU NCHINI
Mhadhili
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Kitilya Mkumbo akielezea kwenye
mkutano wa wadau wa elimu mjini Dodoma, mambo mbalimbali yanayokwamisha
maendeloeo ya elimu na jinsi ya kuiboresha. Mkutano huo ambao pia
walishirikisha wabunge umeandaliwa na Chuo Kikuu cha Aga khan
(AKU).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Mwenyekiti
wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu na Mbunge
wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi wakisikiliza kwa makini mada
kuhusu uboreshaji wa elimu nchini.
Washiriki
wakiwa katika mkutano huo wa kujadili changamoto mbalimbali
zinazoikabili sekta ya elimu nchini na jinsi ya kuziboresha

Post a Comment