Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Video : Arsenal waitandika Manchester United 2- 0
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Manchester United imepokea kipigo cha 2-0 kutoka kwa watani wao wa jadi, Arsenal FC. Magoli hayo yalipatikana katika kipindi cha...
Klabu ya Manchester United imepokea kipigo cha 2-0 kutoka kwa watani wao wa jadi, Arsenal FC.
Magoli hayo yalipatikana katika kipindi cha pili dakika 54, 57 kupitia kiungo wa timu hiyo Xhaka pamoja na mshambuliaji wake, Danny Welbeck.
Kwa matokea hayo, Man U inabaki nafasi ya tano ikiwa na pointi 65.
Arsenal inashika nafasi ya 6 ikiwa na pointi 63 huku akiwa na mchezo mmoja mkononi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top