Rubani wa shirika la ndege la Pakistan ,Amir Akhtar Hashmi,
amesimamishwa kazi baada ya kuonekana kwenye picha zilizopigwa na abiria
pindi walipomuona amelala.
Rubani huyo alilala na kumuachia ndege rubani wa ziada ambaye bado
yuko kwenye mafunzo. Ndege hiyo ilikua inaruka kutoka Pakistan kwenda
London.
Msemaji wa shirika la ndege la Pakistan International Airline (PIA),
amesema kuwa rubani huyo aliyelala alikuwa akihatarisha maisha ya abiria
305 waliokuwepo kwenye ndege hiyo.
Kaptain Amir Akhtar Hashmi alitumia masaa mawili na nusu kulala
sehemu ya abiria ya business class, mnamo tarehe 26 aprili. Ndipo abiria
walipoona na kupiga picha hiyo na kabla ya kufika Uingereza abiria
waliamua kuripot tukio hilo.
Rubani asimamishwa kazi kwa kulala
Title: Rubani asimamishwa kazi kwa kulala
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Rubani wa shirika la ndege la Pakistan ,Amir Akhtar Hashmi, amesimamishwa kazi baada ya kuonekana kwenye picha zilizopigwa na abiria pindi...
Post a Comment