Mwigizaji kwenye show ya RHOA( the Real Housewives of Atlanta)
Phaedra Parks ametimuliwa kwa kusambaza uongo na umbea juu ya muigizaje
mwenzake kuhusika katika kubaka.
Phaedra Parsks
Chanzo cha karibu na waandaje wa RHOA amesema kuwa, Phaedra
amesambaza uongo kwa Porsha Williams kuhusu Kandi Burruss wakati wa
msimu uliopita wa tamthilia hiyo.
Kandi na Todd Tucker
Phaedra alimueleza Porsha kuwa Kandi na mpenzi wake Todd Tucker
walipanga kumuwekea madawa ya kulevya kisha kumpeleka nyumbani na kutaka
kufanya naye ngono.
Siku ya jumapili kwenye msimu huo amabo utaendela kwenye msimu wa
tisa, Siri zote zilifichuka na Phaedra amejulikana kwa kuongea uongo
huo.
Phaedra Parks atimuliwa RHOA
Title: Phaedra Parks atimuliwa RHOA
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Mwigizaji kwenye show ya RHOA( the Real Housewives of Atlanta) Phaedra Parks ametimuliwa kwa kusambaza uongo na umbea juu ya muigizaje mwe...
Post a Comment