New Video: Reekado Banks f/ Vanessa Mdee – Move
Msanii kutoka lebo ya Mavin Records ya Don Jazzy, Reekado Banks ameachia
video ya wimbo wake ‘Move’ ambao amemshirikisha Vanessa Mdee. Wimbo huo
unapatikana katika albamu ya msanii huyo iitwayo ‘Spotlight’.
Post a Comment