Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Kanye West afuta akaunti zake zote
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Boss wa kampuni inayotengeneza mavazi ya Yeezy ,ameushangaza ulimwengu kwa kufuta akaunti zake za mitandao ya kijamii. Kanye ameamua kuf...
Boss wa kampuni inayotengeneza mavazi ya Yeezy ,ameushangaza ulimwengu kwa kufuta akaunti zake za mitandao ya kijamii.

Kanye ameamua kufuta akaunti yake ya Instagram pamoja na ile ya Twitter. Kufutwa kwa akaunti za rapa huyo kulianza kujulikana siku ya jana baada ya mashabiki zake kushangaa kutomuona kila walipokuwa wakimtafuta kwenye mitandao hiyo.

Mr. West ameamua kujiweka katika maisha ya kawaida hasa kwa upande wa kuonyesha kila anachofanya kupitia mitandao tangu alipotoka hospital mnnamo mwaka jana baada ya kupata stress za kupindukia na kushindwa hata kufanya shows.
Kwa sasa Kanye na Kim wameamua kubadilisha mfumo wa maisha kwa kutopendelea kuonyesha mali zao kwa kuzinadi katika mitandao ya kijamii.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top