Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Himid Mao uso kwa uso na Samatta Ubelgiji
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji (kulia) akiwa na mgeni wake, nahodha ms...
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji (kulia) akiwa na mgeni wake, nahodha msaidizi wa timu hiyo, Himid Mao wa Azam FC jana baada ya kumpokea mjini Genk akitokea Denmark, alipokuwa katika majaribio katika klabu ya Randers FC.

Licha ya kufanyiwa majaribio Denmark, kuna uwezekano wa Himid kwenda Afrika kusini kwa ajili ya kujaribu bahati yake kwenye klabu ya Mamelodi Sundown.

Hii ni baada ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Mbabane baadhi ya Viongozi wa Mamelodi kutajwa kuzungumza na Himid ili akafanyanye majaribio huko. Klabu yake bado haina taarifa rasmi lakini wamesema ikitokea kuwa kuna ukweli basi hawatamzuia kujiunga na Mamelod

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top