Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Cristiano Ronaldo avinjari na kimwana visiwani
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Mchezaji wa timu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo, maarufu kama CR7, ameonekana akivinjari na kimwana anayesadikika kuwa mpenzi wake katika...
Mchezaji wa timu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo, maarufu kama CR7, ameonekana akivinjari na kimwana anayesadikika kuwa mpenzi wake katika kisiwa cha Ibiza.

Picha za CR7 na kimwana huyo ajulikanaye kama Geogrina Rodriguez, zilionyesha wawili hao katika kisiwa cha Ibiza – Hispania wakivinjari na kuashiria ushindi mwingine kwa winga huyo wa Real Madrid.


CR 7 na mpenzi wake waliamua kuchukua usafiri wa ndege binafsi hadi kisiwa hicho kupumzika, kabla ya kesho ambapo anatarajia timu yake ya Real Madrid kukipiga na Altetico Madrid katika Champions league.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top