New Video: Pink – Unafeel Aje
Rapa mpya wa kike, Pink ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Unafeel Aje’.
Audio ya imeandaliwa na producer Mbezi. Video imeongozwa na director
Joowzey. Rapa huyo amekuja kuleta ushindani mpya baada ya rapa Rose Ree
pamoja Chemical kuonyesha uwezo mkubwa katika muziki wakurap.
Post a Comment