Brazil ni moja ya nchi zilizobarikiwa na warembo matata. Wiki hii
katika mechi iliyochezwa na klabu ya Desire dhidi ya Sporting katika
mchezo ambao usio na ligi,lilikuwa kwa mshika kibendera wa kike ambaye
alikuwa anachezesha mechi hiyo.
Mrembo Denise Bueno ambaye alishika kibendera katika mchezo huo kama
muamuzi namba mbili aliwafanya wachezaji washindwe kucheza mpira na muda
mwingi kuchukuliwa wakimshangaa yeye huku mpira unaendelea.
Tukio hilo lilitokea baada ya muamuzi huyo kunywa maji na bahati
mbaya yalimwagikia katika nguo yake ya juu aliyoivaa na kusababisha
sehemu ya mwili wake kuonekana kiurahisi.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment