Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Msanii mkongwe Cuba Gooding Sr afariki dunia
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Mwanamuziki na muigizaji kutoka Marekani, Cuba Gooding Sr amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 72. Mzee huyo ambaye n...


Mwanamuziki na muigizaji kutoka Marekani, Cuba Gooding Sr amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 72.

Mzee huyo ambaye ni baba wa muigizaji Cuba Gooding Jr amedaiwa kukutwa amefariki na kikosi cha moto akiwa katika gari lake lililokuwa limepaki pembezoni mwa barabara huko Woodland Hills, California.
Kwa mujibu wa taarifa za polisi, chanzo cha kifo hicho kimetokana na marehemu kuzidisha dawa ambapo kasha la dawa hizo lilikutwa kwenye gari lake likiwa tupu.

Picha ya gari la Cuba Gooding Sr ambalo amekutwa amefariki
Msanii huyo aliwahi kufanya vizuri na nyimbo zake zikiwemo ‘Everybody Plays The Fool’, ‘Just Don’t Want To Be lonely’ na nyingine.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top