Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Marekani: Wasanii walivyosherehekea siku ya bangi, 4/20.
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Siku ya jana, tarehe 20, mwezi Aprili, nchini Marekani, ilikua maalum ya kusherehekea Bangi,ijulikanayo,kama 4/20. 420 ni namba za siri zi...
Siku ya jana, tarehe 20, mwezi Aprili, nchini Marekani, ilikua maalum ya kusherehekea Bangi,ijulikanayo,kama 4/20.
420 ni namba za siri zinazotumika kuashiria desturi maalum maarufu kama Cannabis Culture nchini humo na baadhi ya maeneo duniani.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, wasanii hawa, nchini humo, wanajulikana zaidi kwa ku-enjoy kush mara kwa mara, na kutoona nishahi kupost katika mitandao yao ya kijamii.

Rihanna

Asap Rocky

Snoop Dogg

Future

Rick Ross

Miley Cyrus

Chris Brown

Soulja Boy

Juelz Santana

Tyga

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top