Hatimaye droo ya hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la UEFA na ligi ya Europa imepangwa Ijumaa hii.
Katika kombe la UEFA, mahasimu wa mji wa Madrid ambao ni Real madrid
na Athletico Madrid wamepangiwa kukutana katika hatua hiyo huku nusu
fainali ya pili ya kombe hilo likiwakutanisha Monaco dhidi ya Juventus.
Mechi hizo zinartarajia kuchezwa Mei 2 na 3 huku mechi za marudiano
zikitarajiwa kufanyiaka Mei 9 na 10.
Wakati huo huo katika Europa League Manchester United imepangwa
kukutana na Celta de Vigo ya Hispania,nao Ajax watachuana dhidi ya
Olympique Lyon.
Michezo hiyo inatarajiwa kuchezwa Mei 3 na 4 kwa michezo ya kwanza
huku mechi za marudiano zikitarajiwa kurudiwa Alhamisi ya Mei 11.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment